Mhe. Abdulkarim Shah, Mbunge wa Mafia, Makamu Mwenyekiti wa
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii na Kamishna wa Tume ya Utumishi
ya Bunge, anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi, Bi. Fatma
Abdulkarim Mussa (pichani) kilichotokea Chennai, India tarehe 28 Januari,
Mwili wa marehemu utawasili nchini tarehe 30 Januari, 2014 kwa
ndege ya Shirika la Emirates, saa tisa alasiri na kuzikwa siku ya Ijumaa saa
saba mchana katika makaburi ya Kisutu.
Msiba upo Magomeni, Mtaa wa Matombo, Mwembechai karibu na kwa
Sheikh Yahya Hussein.
Kwa taarifa zaidi, tafadhali wasiliana na:
1. Mhe. Abdulkarim Shah - +918 015 026 119 (India)
2. Ndg Khalid Shah - 0715 567865
3. Ndg. Athumani Kwikima - 0759 683 421
- 0787 965 965/0759 305 739
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Poleni sana wafiwa, ndugu jamaa na marafiki wote wa marehem Bi Fatma Abdulkarim Mussa. Mwenyeez Mungu amraham mja wake, amughufirie kwa yote, amnusuru adhabuze na kesho 'Yaumul-Hisabu' awe ni miongoni mwa waja wake wema watakaoingia Jannatu Nnaeem yake - Ameen. Nasi sote tungalio njiani, Yarabi tunakuomba utujaaliye 'Khusni-l-khatima' Insha Allah, Ameen.
ReplyDeleteameen Ya Rabbil alameen. Mungu akuandikie thawabu kwa dua zako ndungu. we really appreciate it
ReplyDeleteJazakaAllah khairan