Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Winfrida Korosso akizungumza na wafanyakazi wa Tume wakati wa kuukaribisha mwaka mpya 2014.
Keki maalum kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya.
Ofisa Sheria wa Tume Bi. Zainabu Chanzi akimlisha Keki Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso kwa niaba ya wafanyakazi wote waTume.
Ufunguaji wa Shampeni wakati wa kuukaribisha mwaka mpya 2014.
Wafanyakazi wa Tume wakishiriki katika kuukaribisha mwaka mpya 2014.
Hiyo champagne ilikuwa ina kilevi au..kama ndio unywaji pombe ofisini ni sawa?
ReplyDeletehaikuwa na kilevi hiyo mhh jamani!
ReplyDelete