Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Msasani, Mchungaji Metili Olteshi akiongoza Ibada ya shukrani ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Waimbaji wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Msasani wakiimba nyimbo za kumsifu Mungu wakati wa ibada ya shukrani, ambapo wafanyakazi wa Benki ya CRDB walitoa sadaka katika kanisa hilo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB pamoja na familia zao wakiwa katika ibada ya shukrani katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Msasani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toeni sadaka kila Jumapili Kanisani!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete