Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akizungumza
na wadau wa sekta ya madini (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa
warsha ya uzinduzi wa Mfumo wa Utafiti wa Geofizikia data leo jijini
Dar es salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Geotech Airborne Limited Malcolm
Moreton akielezea namna kampuni yake ilivyoshirikiana na Serikali ya
Tanzania kuhakikisha mfumo wa Utafiti wa Geofizikia unafanikiwa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Geological Survey Tanzania(GST) Abdulkarim H. Mruma akifafanua jambo wakati wa warsha ya uzinduzi Mfumo wa Utafiti wa Geofizikia data leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wadau wa sekta ya Jeolojia wakifuatilia mada kutoka
kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Geological Survey Tanzania(GST)
Abdulkarim Mruma (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (waliokaa
katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa
Warsha ya uzinduzi wa mfumo wa Utafiti wa Geofizikia Data iliyofanyika
leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Benjamin Sawe - MAELEZO.
Ni Prof.Abdulkarim.H.Mruma.Neno "Prof." ni muhimu ingawa sio lazima.
ReplyDelete