Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akizungumza na wadau wa sekta ya madini (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha ya uzinduzi wa Mfumo wa Utafiti wa Geofizikia data leo jijini Dar es salaam.
Mwakilishi wa Kampuni ya Geotech Airborne Limited Malcolm Moreton akielezea namna kampuni yake ilivyoshirikiana na Serikali ya Tanzania kuhakikisha mfumo wa Utafiti wa Geofizikia unafanikiwa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Geological Survey Tanzania(GST) Abdulkarim H. Mruma akifafanua jambo wakati wa warsha ya uzinduzi Mfumo wa Utafiti wa Geofizikia data leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wadau wa sekta ya Jeolojia wakifuatilia mada kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Geological Survey Tanzania(GST) Abdulkarim Mruma (hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Warsha ya uzinduzi wa mfumo wa Utafiti wa Geofizikia Data iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Benjamin Sawe - MAELEZO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ni Prof.Abdulkarim.H.Mruma.Neno "Prof." ni muhimu ingawa sio lazima.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...