Apartments at Mbezi Beach, Kinondoni, in Dar es Salaam.
Price per house : $300,000.00
Each House has : 4 Self Contained Bedrooms
First Floor: Living Room, Kitchen with Cabinets, Self Contained Guest Room
Second Floor: One Big Self Contained Master Bed room and Two Self contained Rooms
Contacts: +255 784 782578, +255 652 386706 Email:range_charles@yahoo.com
Name: Charles Isaroche Range
Kwa wale wadau wanaolalamika kuhusu bei za nyumba Bongo kuwa ni kubwa kuliko Ughaibuni hii kuwa hapo hununui nyumba bali unanunua "Address".
ReplyDeleteuna maana gani kununua adreess mdau
ReplyDeleteThere is no toilets in this appartments?!
ReplyDeletenilivomfaham mm unanunua jina la sehem yaani mbezi beach lkn mdau nyumba zipo mpaka za rahisi ukitaka kukaa uzunguni ndio bei zake
ReplyDeleteUZUNGUNI NDIYO WAPI? YANI BADO TUKO ENZI ZA KIKOLONI? HUU UKOLONI UTAISHA LINI? WADAU MUNISAIDIE.
ReplyDeleteNyumba kali sana, utafikiri ulaya! Haya wadau wa majuu chukua fursa hiyooo.
ReplyDeleteNawahsnagaa wadau. Wengi wanapinga jamaa wa Ughaibuni kuwa raia pacha, saa hizi mnataka wanunue majumba ya bei mbaya(SMH). Siongopi, nimemwonyesha mfanyakazi mwezangu, Mzungu, bei ya hiyo nyumba na picha, kacheka. Anasema, hapa Chicago tena, hata suburb unapta nyumba kubwa nzuri kuliko hiyo kwa $122,000.00. Naona hizo bei zinawafaa vingozi wetu huko, maana ndiyo waizi wakubwa, hela yao aina maumivu. Siye wabeba box tunajua uchungu wa hela.
ReplyDeleteNi kweli kabisa mdau wa Chicago hapo juu, hiyo nyumba kwa bei hiyo dah! Bongo ndio maana ufisadi uko juu. Na utaendelea kuwa juu kama serikali haitakuwa na mkakati mzuri wa nyumba kwa watu wenye vipato vidogo ili hata watumishi wa kada za chini wasiwe wakiwaza kujenga au kununua nyumba binafsi kama hizo ambazo hazina uhalisia wowte wa bei zake na thamani yake
ReplyDelete