Apartments at Mbezi Beach, Kinondoni, in  Dar es Salaam. 
Price per house : $300,000.00
 Each House has : 4 Self Contained Bedrooms
 First Floor: Living Room, Kitchen with Cabinets, Self Contained Guest Room 
Second Floor: One Big Self Contained Master Bed room and Two Self contained Rooms
Contacts: +255 784 782578, +255 652 386706 Email:range_charles@yahoo.com 
Name: Charles Isaroche Range


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kwa wale wadau wanaolalamika kuhusu bei za nyumba Bongo kuwa ni kubwa kuliko Ughaibuni hii kuwa hapo hununui nyumba bali unanunua "Address".

    ReplyDelete
  2. una maana gani kununua adreess mdau

    ReplyDelete
  3. There is no toilets in this appartments?!

    ReplyDelete
  4. nilivomfaham mm unanunua jina la sehem yaani mbezi beach lkn mdau nyumba zipo mpaka za rahisi ukitaka kukaa uzunguni ndio bei zake

    ReplyDelete
  5. UZUNGUNI NDIYO WAPI? YANI BADO TUKO ENZI ZA KIKOLONI? HUU UKOLONI UTAISHA LINI? WADAU MUNISAIDIE.

    ReplyDelete
  6. Nyumba kali sana, utafikiri ulaya! Haya wadau wa majuu chukua fursa hiyooo.

    ReplyDelete
  7. Nawahsnagaa wadau. Wengi wanapinga jamaa wa Ughaibuni kuwa raia pacha, saa hizi mnataka wanunue majumba ya bei mbaya(SMH). Siongopi, nimemwonyesha mfanyakazi mwezangu, Mzungu, bei ya hiyo nyumba na picha, kacheka. Anasema, hapa Chicago tena, hata suburb unapta nyumba kubwa nzuri kuliko hiyo kwa $122,000.00. Naona hizo bei zinawafaa vingozi wetu huko, maana ndiyo waizi wakubwa, hela yao aina maumivu. Siye wabeba box tunajua uchungu wa hela.

    ReplyDelete
  8. Ni kweli kabisa mdau wa Chicago hapo juu, hiyo nyumba kwa bei hiyo dah! Bongo ndio maana ufisadi uko juu. Na utaendelea kuwa juu kama serikali haitakuwa na mkakati mzuri wa nyumba kwa watu wenye vipato vidogo ili hata watumishi wa kada za chini wasiwe wakiwaza kujenga au kununua nyumba binafsi kama hizo ambazo hazina uhalisia wowte wa bei zake na thamani yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...