Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,pamoja na viongozi wengine alipowasili viwanja vya Kambi ya JKU kama katika hafla ya Chakula cha mchana kwa Maaskari na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi waliofanikisha katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis,(wa pili kulia) na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,pamoja na viongozi wengine alipowasili viwanja vya Kambi ya JKU kama katika hafla ya Chakula cha mchana kwa Maaskari na Makamanda wa Vikosi vya Ulinzi waliofanikisha katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) Waziri wa Ofisi ya Rais na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame,(kulia) akifuatiwa na Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,Mkuu wa JKU Kanali Sudi Haji Khatibu,(kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa Kikosi cha KMKM Komodoo Hassan na Mkuu wa Mkoa w Mjini Maharibi Abdalla Mwinyi Khamis,wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipiga kabla ya hafla ya chakula kwa wapiganaji wa Vikozi vya Ulinzi katika ufanikishaji wao katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Mapinduzi.
Baadhi ya Makamanda na wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika kufanikisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar hafla ilifanyika jana katika kambi ya JKU kama, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Brigedia Jenerali Sharif Sheikh Othman,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika hafla ya chakula kilichoandaliwa kwa wapiganaji wa vikosi vya ulinzi kwa ufanikishaji wao katika sherehe za kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi,sherehe zilizofanyika uwanja wa Amaan Studiuam, 12 januari 2014.
Baadhi ya Makamanda na wapiganaji wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika kufanikisha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar hafla ilifanyika jana katika kambi ya JKU kama. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Eti mzee Msuguli alikuwa anawaita hawa WAGOMBANAJI!!!(msije mkacheka).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...