Home
Unlabelled
GARI LIKIWA LINAOSHWA KATIKA ENEO HATARISHI MBEZI KWA YUSUFU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Madereva wa Serikali bwana! Pesa kamili wanapewa kuoshea magari wanachakachua ili wapate ya kutanulia. Huo ni mfano tu yapo mengi yafanyikayo kuonyesha ubadhirifu wao.
ReplyDeleteNdio maana kila gari inatakiwa iwe na bima. Bei kubwa ya gari kama huna bima kwanini uinunue?
ReplyDeleteMnalalamika kama vile Gari hiyo haiwahusu vile
ReplyDeleteNapenda mjue kuwa hiyo ni gari iliyonunuliwa kwa KODI ZETU hivyo tunapaswa hata unapomuona dereva mjinga kama huyo kumwambia ili ajue kuwa WENYE GARI HAWAPENDI UJINGA na KODI zao zinawauma
Hata kama akakupuuza lakini atakuwa amekusikia na ipo siku ataifanyia kazi