HABARI ZA KAZI ANKAL. 
KATIKA PITA PITA YANGU HAPA UGHAIBUNI NIMEIKUTA GARI ISIYOTUMIA WESE IKIPATIWA CHARGE. NAOMBA OWAONYESHE WADAU WA USAFIRI NCHI WAANZE KUWEKA MAZINGIRA YATAKAYOWEZEZA AINA YA GARI KAMA HIZI KUJA TANZANIA.

AHSANTE
MDAU
LUTON
UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sijui ulikuwa unarudi nyumbani toka kibaruani umechoka au ni vipi? maana ni kama umerusha picha tu na mzigo wa sisi kuandaa mazingira bila kufanya utafiti nini kifanyike na nani na vipi na kwa nini. Ukishapumzika tuletee taarifa nzuri iliyokamilika na utueleze ushiriki wako katika hili. Natumai umenipata.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...