Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati Kuu ya CCM kumpitisha, leo kuwania nafasi hiyo ya Ubunge. (Picha na Bashir Nkoromo).
Home
Unlabelled
KAMATI KUU YATEUA MGOMBEA WA CCM KALENGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera Kijana , Kila la kheri Fuata Nyayo za Mzee , Uongozi Ni kipaji , kama ilivyo Muziki , Hata Banana Zoro alifuata nyayo za Baba yake , Hata kina Matumla wamejaaliwa kipaji cha ngumi Familia nzima,
ReplyDeletekijana bado mdogo sana huyu ataweza kweli Ubunge. I wish all the best he needs to make TZ better place ....
ReplyDeleteKila la Kheri Godfrey W. Mgimwa!
ReplyDeleteHongera Kijana Godfrey William Mgimwa!
ReplyDeleteKwa zama hizi Viongozi Waaminifu, Wachapa kazi na Waadilifu wameadimika sana isipokuwa la kutupa faraja Marehemu Dr.W.A Mgimwa aliishi masiaha na alifuata nyayo za Kambarage hivyo tunaimani na wewe mwanaye utafuata nyayo hizo!