Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge wakiwa na wenyeji wao mara baada ya kuwasili katika Bunge la India (Lok Sabha) wajumbe wa kamati hiyo wametembelea leo huko New Delhi, India. Ujumbe huu upo India katika ziara ya mazfunzo katika kitengo cha bunge la India Lok Sabha BPST (Bureau of parliamentary studies and training) toka Februari 9, 2014 kuhusu kuhusu (1) muundo wa kamati az kudumu katika bunge la India (Commitee systen in India parliament (2) Bunge katika katika siasa (Parliament in a India politics (3) executive Accountability to Parliament na mwisho walikutana na kamati ya ulinzi na usalama ya hukokupata kupata uzoefu kutoka kwao.
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge Mhe Anna Abdallah akisaini katika kitabu cha wageni wa Bunge la India (Lok Sabha) ambalo yeye na wajumbe wa kamati hiyo wametembelea leo huko New Delhi, India
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwa ziarani India
Kikao cha pamoja katika ukumbi wa mikutano wa Lokh Sabha
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mhe Anna Abdallah na Makamu Mwenyekiti Mhe. Dkt Mohamed Seif Khatib na mwenyeji
wao Mhe. Rasheed
Kikao kikiendelea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...