Kijiwe cha Ughaibuni kinamtakiwa mwenzao Eric Bahunde (shati la njano) afya njema na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka Eric Bahunde amelazwa University of Maryland Medical Center kwa matibabu baada ya kupata ajali ya kukatika kwa miguu yote na mkono wa kulia. Kruu nzima ya Kijiwe cha ughaibuni inawaomba Watanzania wote wajitahidi kufika Hospitali kumjulia hali yupo ghorofa ya 6 chumba namba 8 na muulizie kwa jina la Elisha Bahunde Eric anapenda vyakula vya Kitanzania kama unaweza kumpekelekea maandazi, vitumbua na vinginevyo atashukuru sana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. I wish I was in the US ninempelekea kila siku mpaka kashata... ALLAh atampa faraja!

    ReplyDelete
  2. pole sana kama mpendwa mwenyezi mungu atakuafu kwani mungu ndio muweza wa kila kitu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...