Hili ni gari...Chukulia hili gari kama usafiri wako katika kuendesha mahusiano yako na yule mweza umpendae. Humu ndani ya gari kuna familia yako yote na wewe ndiye dereva...Njia utakayochagua kulipitisha hili gari,ndio njia watakayopita familia yako
Gari hili lina matairi yanayokaribia kugusa ardhi...ni kama unaendesha Lamboghini vile...Very delicate! Endesha gari lako katika Njia iliyonyooka,utakutana na mabonde na milima,lakini usipokwepa hivi na kuingia njia za uchochoroni usikojua kuna matope kiasi gani,basi hii milima na mabonde itapita na njia itaendelea kunyooka. 

Baki Njia Kuu, Michepuko Sio Dili

Epuka Ukimwi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. very creative and educational. Tushindwe wenyewe kufuata ushauri!

    Mdau Canada

    ReplyDelete
  2. Ushauri unatakiwa ulimbukeni usije ukapoteza wengi kisa kusherekea siku.

    ReplyDelete
  3. Ama kweli wengi wanaendeshwa na Saikolojia ya ngono na ujinga!

    Licha ya Maelekezo mazuri sana hapa na Mdau aliyetoa kigezo cha gari hilo, ile jana tu kwenye Valentine Day Matokeo kama haya hapo chini inawezekana sana kuwa yametokea:

    1.Maambukizi mapya ya Ukimwi,
    2.Usaliti kwa wenza wawili,
    3.Hasara kubwa na ukwepaji wa majukumu kwenye Familia zetu kwa wenza hao wa gizani kuzitelekeza familia zao hata DONA kwa DAGAA wakakosa huku watu hao walio ibana kimahusiano wakiwa chemba wakila MAINI KWA MISHIKAKI YA MBUZI HUKU WAMEKUMBATIANA wakiwa Mafichoni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...