Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa mpiganaji Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii mjini Moshi. Uongozi wa Michuzi Media Group unamtakia afya tele itayomuwezesha kuendeleza Libeneke kama afanyavyo kila kukicha huko mkoani Kilimanjaro. Vile vile anaaswa asisahau kumuweka Mungu mbele kwa kila jambo alipangalo na alifanyalo maana yeye ndiye mjuaji na mgawaji wa vyote. Hongera sana Dixon - Uongozi MMG

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mdau umeamua kukung'uta picha kwenye MKOKO! TETETETETETE!!!

    ReplyDelete
  2. dixon umeo? au bado upo upo kwanza? nakuhitaji uwe my husband

    ReplyDelete
  3. Happy Birthday NOT hepi Besdei please. Lets have the correct spelling.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...