: Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Hassan Bendeyeko (kushoto) akikabidhi funguo za gari jipya kwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Naftali Saioloyi (kulia).Gari hilo aina ya Landcruiser Station Wagon lenye namba DFPA 160 limetolewa kwa msaada wa shirika la Waltereed Program kusaidia utoaji wa huduma za UKIMWI .Tukio la makabidhiano imefanyika leo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma.
Gari hili ndilo lililokabidhiwa leo kwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea likiwa ni msaada kutoka shirika la Waltereed Program kuhudumia shughuli za UKIMWI katika Manispaa hiyo. Picha na Revocatus Kassimba
Afisa Habari Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Ruvuma.

Gari la Ukimwi...hili jina limekaaje...
ReplyDelete