Ngalawa zikiwa katika mstari kwa ajili ya kuanza mashindano katika pwani ya Kijiji cha Kigombe wilayani Muheza.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kizindua mashindano ya Ngalawa Wilayani Muheza.
Meneja mauzo wa ZANTELTanzania Salum Ngururu, akikamkabidhi zawadi mshindi wa kwanza katika mashindano ya Ngalawa, Juma Mgeni zawadi yake.
Sehemu ya umati wa wananchi wakifuatilia michuano ya Ngalawa.HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.
Mhe. Amina Mwidau INAONEKANA RANGI YA KIJANI IMEKUPENDEZA ?
ReplyDeleteKARIBU SANA CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!!
Mdau wa kwanza,
ReplyDeleteAhhh wapi, hiyo ni jeuri ye Fedha ya Zantel Kampuni ya Mtandao wa simu ndio imemshinikiza avae rangi hizo maana ndio rangi zao!
Tusishangae na mabadiliko ya Kiitaikadi za Kisiasa hasa kuelekea hii 2015.
ReplyDeleteSiasa haina adabu kwa wanao ijua vizuri...Siasa ni mchezo wa pata potea.
Vipindi kama hivi ndio vya kushuhudia maajabu ya Mussa!
Mtu mnakuwa wote mara ghafla unamwona anavaa Koti la chama kingine!
Hv ni ngaLawa au ngaRawa?
ReplyDeletesesophy
NGALAWA. Hii michezo ifufuliwe kwani wabongo tuna michezo michache sana, wengi ni soka ambalo linatuletea ukploni mamboleo kwa kushobokea vya ulaya tu. Na zile ngoma za jadi jamani,wapi kibisa, TOT, nk...
ReplyDeleteMdau wa 5 ju,
ReplyDeleteNi kweli kabisa maana hii Soka hatuna chetu licha ya Raisi Kikwete kufanya awezalo ili nchi isonge tumevuna mawe!
Ni bora turudi ktk Michezo ya JADI kama hizi Mbio za Ngalawa, Kufukuza Majogoo na Kuku, M,bio za Mbuzi, Mbio za Magunia na Bao !