Ngalawa zikiwa katika mstari kwa ajili ya kuanza mashindano katika pwani ya Kijiji cha Kigombe wilayani Muheza. 
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kizindua mashindano ya Ngalawa Wilayani Muheza.
Meneja mauzo wa  ZANTELTanzania  Salum Ngururu, akikamkabidhi zawadi mshindi wa kwanza katika mashindano ya Ngalawa, Juma Mgeni zawadi yake.
  Sehemu ya umati wa wananchi wakifuatilia michuano ya Ngalawa.HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mhe. Amina Mwidau INAONEKANA RANGI YA KIJANI IMEKUPENDEZA ?

    KARIBU SANA CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza,

    Ahhh wapi, hiyo ni jeuri ye Fedha ya Zantel Kampuni ya Mtandao wa simu ndio imemshinikiza avae rangi hizo maana ndio rangi zao!

    ReplyDelete
  3. Tusishangae na mabadiliko ya Kiitaikadi za Kisiasa hasa kuelekea hii 2015.

    Siasa haina adabu kwa wanao ijua vizuri...Siasa ni mchezo wa pata potea.

    Vipindi kama hivi ndio vya kushuhudia maajabu ya Mussa!

    Mtu mnakuwa wote mara ghafla unamwona anavaa Koti la chama kingine!

    ReplyDelete
  4. Hv ni ngaLawa au ngaRawa?

    sesophy

    ReplyDelete
  5. NGALAWA. Hii michezo ifufuliwe kwani wabongo tuna michezo michache sana, wengi ni soka ambalo linatuletea ukploni mamboleo kwa kushobokea vya ulaya tu. Na zile ngoma za jadi jamani,wapi kibisa, TOT, nk...

    ReplyDelete
  6. Mdau wa 5 ju,

    Ni kweli kabisa maana hii Soka hatuna chetu licha ya Raisi Kikwete kufanya awezalo ili nchi isonge tumevuna mawe!

    Ni bora turudi ktk Michezo ya JADI kama hizi Mbio za Ngalawa, Kufukuza Majogoo na Kuku, M,bio za Mbuzi, Mbio za Magunia na Bao !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...