Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mtoto ndiyo bingwa mshindi, well done buddy, sema hukupewa air time unayostahili, but u made my day little fella

    ReplyDelete
  2. Ngoma nzuri sana kuanzia midundo mpaka uchezaji wake, huyo mtoto nampa hongera zake za dhati, kajituma si haba, katika kutumbuiza na yeye hakutaka kubaki nyuma, kaonyesha uwezo wake. Pongezi na hongera za dhati kwa watanzania wote khusasan wana CCM wote kwa jumla, kwa kusherehekea miaka 37 tangu kuzaliwa kwa 'Chama Cha Mapinduzi'. Kidumu Chama Cha Mapinduzi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...