Nyumba hii ipo katika hali nzuri na kuna wapangaji wanaishi ipo Mkimbizi kata ya Mtwivila mjini Iringa umbali wa Km 4 kutoka barabara kuu ya Iringa-Dodoma
Sifa zake
> Ina vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, stoo,jiko na Sebule kubwa
>Hati ipo nyumba ipo na vielelezo vyote nyeti vipo
>Eneo ambalo limejengwa ni alisimia 30 ya uwanja
> uwanja una ukubwa wa Skwea mita 525
>Maji na umeme upo
> Barabara inafika hapa nyumbani
Nyumba hii ilikukuwa ikiuzwa
Tsh milioni 60 sasa ni TSh 35 maelewano yapo
> Nyumba ipo eneo la Mkimbizi Bima katika Manispaa ya Iringa jirani na kituo cha Yatima cha Deily Bread
Kwa mawasiliano piga simu namba
|
Home
Unlabelled
Nyumba inauzwa Iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...