Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua rasmi vipeperushi vilivyo andikwa , Mambo Saba makubwa ya kuungwa mkono na wananchi katika Rasimu ya Katiba pamoja na mambo makubwa matano yanayokosekana katika Rasimu ya Katiba na Kipeperushi cha pili kinacho sema 'Taifa ni letu na Katiba ni yetu Husika tupate Katiba Bora.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Flash Disk maalum zenye Rasimu ya Katiba ambazo zitagawiwa kwa waendesha Bodaboda ili abiria akipanda nae apate kusikiliza Rasimu hiyo.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi, DVD, VCD pamoja na AUDIO CD kwa ajili ya walemavu.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi Tovuti 'Blog' inayo itwa Taifa ni letu www.taifaniletu.blogspot.com ambayo ni maalumu kwa ajili ya Rasimu ya Pili ya Katiba. Kwa picha zaidi na BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...