Uzinduzi wa ofisi ya Tawi la CCM Ferry Kigamboni wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam leo. Mjumbe wa NEC Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi ambapo alizindua tawi, na kuendesha harambee ya kuimarisha Chama kuichumi na kuingiza wanachama wapya
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akifungua ofisi za tawi hilo
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akitoa kadi kwa mwanachama mpya
Mjumbe wa NEC Phares Magesa akihutubia baada ya kuzindua tawi hilo
Hii ni ferry ipi ile ya wauza samaki?? ndio mmeshawatamani wauza samaki??wakazi wa jangwani na kigogo nakumbuka nao walipewa miringoti na bendera kipindi hiko...ikawa taabu kuwatoa msimu wa mafuriko.....haya bwana.....
ReplyDelete