Home
Unlabelled
PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO NA MIKOANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona hawapo wahindi wa kariakoo!!au wao hawana tatitizo na machine?
ReplyDeleteWahindi hutii sheria bila shuruti.
ReplyDeleteHapa matatizo yako complex zaidi:
ReplyDelete1. Wafanyabiashara wamekuwa wakikwepa kulipa kodi/na kama wakilipa wanalipa kodi pungufu.
2.Ukwepaji huo wamekuwa wakiufanya kwa kutumia mbinu zao binafsi/na kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wa TRA wasio waaminifu.
3.Hivyo basi baada ya kuleta EFD mapato TRA yameongezeka ghafla....na ulaji wa watumishi wasio waaminifu wa TRA na wakwepa kodi umefutika ghafla.
4.Matokeo yake ni hujuma ya mfumo wa EFD kwa kuwashirikisha watendaji hao wasio waaminifu,wafanya biashara na wafanyabishara wakwepa kodi. Ikiwa ni pamoja na kuweka viwango vikubwa kama vile wamekosea au na kuhujumu machine zenyewe pamoja na kuhamasisha migomo.
5.TRA ijiangalie/kujichunguza kwanza yenyewe kuhusu mfumo mzima wa EFD kama unakokotoa viwango stahili na pili viwango vya bei za machine ziangaliwe/kupitiwa upya.
6.Masuala ya kodi hayahitaji siasa.....kodi mi lazima kulipa.Mfumo wa kukata Leseni ya biashara pamoja na masharti yake urudishwe.Hutaki kuuza futa leseni, ukafanye kazi nyingine.