Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na viongozi wa  Jumuiya  za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima. 
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na Mkoani  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine  za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 12, 2014. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mbona hawapo wahindi wa kariakoo!!au wao hawana tatitizo na machine?

    ReplyDelete
  2. Wahindi hutii sheria bila shuruti.

    ReplyDelete
  3. Hapa matatizo yako complex zaidi:
    1. Wafanyabiashara wamekuwa wakikwepa kulipa kodi/na kama wakilipa wanalipa kodi pungufu.
    2.Ukwepaji huo wamekuwa wakiufanya kwa kutumia mbinu zao binafsi/na kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wa TRA wasio waaminifu.
    3.Hivyo basi baada ya kuleta EFD mapato TRA yameongezeka ghafla....na ulaji wa watumishi wasio waaminifu wa TRA na wakwepa kodi umefutika ghafla.
    4.Matokeo yake ni hujuma ya mfumo wa EFD kwa kuwashirikisha watendaji hao wasio waaminifu,wafanya biashara na wafanyabishara wakwepa kodi. Ikiwa ni pamoja na kuweka viwango vikubwa kama vile wamekosea au na kuhujumu machine zenyewe pamoja na kuhamasisha migomo.
    5.TRA ijiangalie/kujichunguza kwanza yenyewe kuhusu mfumo mzima wa EFD kama unakokotoa viwango stahili na pili viwango vya bei za machine ziangaliwe/kupitiwa upya.
    6.Masuala ya kodi hayahitaji siasa.....kodi mi lazima kulipa.Mfumo wa kukata Leseni ya biashara pamoja na masharti yake urudishwe.Hutaki kuuza futa leseni, ukafanye kazi nyingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...