Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(hayupo pichani)Promosheni hiyo imesha kwa kubadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700).
 Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)akibadilishana mawazo na baadhi ya washindi walijishindia pikipiki katika Promosheni ya Timka na Bodaboda  wakati alipokuwa akiwakabidhi pikipiki hizo,Promosheni hiyo ilikuwa ikiendeshwa na kampuni yake,na imebadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700)
 Washindi  wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam,Bi.Rose Lazaro(kushoto)na Levina Athman(katikati)wakisukuma pikipiki zao walizojishindia katika promosheni hiyo baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia)Promosheni hiyo imeisha kwa kubadisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700)
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda mkazi wa jijini Dar es Salaam Bw.Stanley Malio kushoto)akifurahia jambo pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia) baada ya kumkabidhi rasmi pikipiki hiyo.Promosheni hiyo imeisha kwa kubadisha maisha ya watanzania zaidi ya mia saba(700)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi siku hizi Bongo kuna pikipiki ngapi? Wakati wetu kulikuwa na pikipiki chache sana na karibu zote zilikuwa za mapadri

    ReplyDelete
  2. Hahaha mdau kumbe hujui bongo, siku hizi pikipiki nyingi kushinda watu pamoja na magari. Halafu hazifuati sheria zozote za barabarani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...