Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es
Salaam,wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(hayupo
pichani)Promosheni hiyo imesha kwa kubadilisha maisha ya watanzania zaidi ya
mia saba(700).
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina
Nkurlu(kulia)akibadilishana mawazo na baadhi ya washindi walijishindia pikipiki
katika Promosheni ya Timka na Bodaboda
wakati alipokuwa akiwakabidhi pikipiki hizo,Promosheni hiyo ilikuwa
ikiendeshwa na kampuni yake,na imebadilisha maisha ya watanzania zaidi ya mia
saba(700)
Washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa
Dar es Salaam,Bi.Rose Lazaro(kushoto)na Levina Athman(katikati)wakisukuma
pikipiki zao walizojishindia katika promosheni hiyo baada ya kukabidhiwa rasmi
na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Bw.Matina
Nkurlu(kulia)Promosheni hiyo imeisha kwa kubadisha maisha ya watanzania zaidi
ya mia saba(700)
Mshindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda mkazi wa jijini Dar es Salaam
Bw.Stanley Malio kushoto)akifurahia jambo pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa
Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu(kulia) baada ya kumkabidhi rasmi pikipiki
hiyo.Promosheni hiyo imeisha kwa kubadisha maisha ya watanzania zaidi ya mia
saba(700)
Hivi siku hizi Bongo kuna pikipiki ngapi? Wakati wetu kulikuwa na pikipiki chache sana na karibu zote zilikuwa za mapadri
ReplyDeleteHahaha mdau kumbe hujui bongo, siku hizi pikipiki nyingi kushinda watu pamoja na magari. Halafu hazifuati sheria zozote za barabarani.
ReplyDelete