Kaimu Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Hamis Mdee akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid nakala ya Taarifa ya Utekelezaji wa Mfuko huo,wakati wa ziara ya Waziri kwenye Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid akizungumza na watumishi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (hawapo pichani) wakati alipotembelea Ofisi za Mfuko huo,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Seif Rashid (wa tatu kulia) akifuatilia namna Mfumo mpya wa kushughulikia madai ya wanachama (eClaims) unaotumiwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.anaetoa maelezo ni Mkurugenzi wa Mfumo wa Habari,Bw. Ally Othman.
Baadhi ya wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakisalimiana na Dk. Pamela Sawa kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Waziri akisalimiana na wafanyakazi wa Mfuko.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akiongozana na Mwenyekigti wa Bodi, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF na baadhi ya wajumbe wa bodi kuelekea ukumbini kuzungumza na watumishi wa Mfuko huo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...