Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed amabe ni Mgeni Rasmin katika siku ya Cancer Duniani iliyo adhimishwa jana 04/2/2014 ofisini kwao Mpendae (kulia) Dkt. Msafiri Marijani ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA).
Mwenyeki wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Dkt. Msafiri Marijani akitoa maelezo juu ya ukonjwa hatari wa Cancer katika madhimisho ya siku Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Mpendae Zanzibar.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika madhimisho ya siku ya Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Wakati umefika sasa kwa SMZ kuwezesha hospitali ya Mnazi mmoja ili itowe huduma za Radiotherapy na Chemotherapy. Ni gharama kubwa kwa jamaa wa wagonjwa kuwapeleka Ocean Rd, Dar es Salaam kwa huduma hizo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...