Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mohammed Said Mohammed amabe ni Mgeni Rasmin katika siku ya Cancer Duniani iliyo adhimishwa jana 04/2/2014 ofisini kwao Mpendae (kulia) Dkt. Msafiri Marijani ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA).
Mwenyeki wa Jumuiya ja maradhi ya Cancer Zanzibar (ZCA). Dkt. Msafiri Marijani akitoa maelezo juu ya ukonjwa hatari wa Cancer katika madhimisho ya siku Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Mpendae Zanzibar.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika madhimisho ya siku ya Cancer Duniani iliyoadhimishwa jana Zanzibar.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Wakati umefika sasa kwa SMZ kuwezesha hospitali ya Mnazi mmoja ili itowe huduma za Radiotherapy na Chemotherapy. Ni gharama kubwa kwa jamaa wa wagonjwa kuwapeleka Ocean Rd, Dar es Salaam kwa huduma hizo.
ReplyDelete