Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. wait for an outbreak of pandemic disease like cholera...Subiria mlipuko wa kipindupindu

    ReplyDelete
  2. Kweli wanasema imani huamisha milima... lakini hizi imani za akina babu na haya ya ziwa is above all. Mama yangu alikuwa mmojawapo aliyekwenda kwa babu and to this date bado you mgonjwa wa kisukari na mambo mengine kibao. Mimi nilimuuliza swali moja tuu- mama nimekuwa nikijua wewe ni mkristu ninini kimeyumbisha imani yako namna hii... and the answer was"DESPARATION" ambayo inafanya watu wafanye kitu chochote kinachosemekana kinaponya either magonjwa au umaskini. Mungu tusaidie

    ReplyDelete
  3. imani bila elimu.

    tanzania and nigeria are believed to be similar when it comes to beliefs.

    manabii wa siku hizi wa kujipachika na mke kuwa mwinjilisti.

    ReplyDelete
  4. is it good for obesity also? i see many faties, or it is not a problem?

    ignorance.

    ReplyDelete
  5. Mlisha wahi kusikia mambo mambo kama ya akina babu na ziwa la ajabu ktk Bara la Ulaya ama Marekani Kaskazini?

    Hizi Imani za Kiza zitazidi kutukwamisha Waafrika zaidi ya jinsi tulivyo kwama kutokana na mtikisiko wa Uchumi wa Dunia!wake

    We Africans wake up!

    ReplyDelete
  6. Nigeria?

    Ahhh wapi huo ni usanii manzo mwisho, utakuwa ni Upigaji!

    ReplyDelete
  7. Mwafrika anazidi kudumaa kiakili kwa kuegemea zaidi ktk imani za kiza na za kufikirika kufikirika!

    ReplyDelete
  8. nyie mnawajuwa wanaijeria kwa magirini?

    ReplyDelete
  9. babu akisoma hii ataamini. pamoja na walomwamini babu.

    ReplyDelete
  10. Upuuzi mtu, kuambukizana magonjwa tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...