Home
Unlabelled
ziwa la ajabu nigeria lavutia maelfu kama kilivyokuwa kikombe cha babu wa loliondo...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wait for an outbreak of pandemic disease like cholera...Subiria mlipuko wa kipindupindu
ReplyDeleteKweli wanasema imani huamisha milima... lakini hizi imani za akina babu na haya ya ziwa is above all. Mama yangu alikuwa mmojawapo aliyekwenda kwa babu and to this date bado you mgonjwa wa kisukari na mambo mengine kibao. Mimi nilimuuliza swali moja tuu- mama nimekuwa nikijua wewe ni mkristu ninini kimeyumbisha imani yako namna hii... and the answer was"DESPARATION" ambayo inafanya watu wafanye kitu chochote kinachosemekana kinaponya either magonjwa au umaskini. Mungu tusaidie
ReplyDeleteimani bila elimu.
ReplyDeletetanzania and nigeria are believed to be similar when it comes to beliefs.
manabii wa siku hizi wa kujipachika na mke kuwa mwinjilisti.
is it good for obesity also? i see many faties, or it is not a problem?
ReplyDeleteignorance.
Mlisha wahi kusikia mambo mambo kama ya akina babu na ziwa la ajabu ktk Bara la Ulaya ama Marekani Kaskazini?
ReplyDeleteHizi Imani za Kiza zitazidi kutukwamisha Waafrika zaidi ya jinsi tulivyo kwama kutokana na mtikisiko wa Uchumi wa Dunia!wake
We Africans wake up!
Nigeria?
ReplyDeleteAhhh wapi huo ni usanii manzo mwisho, utakuwa ni Upigaji!
Mwafrika anazidi kudumaa kiakili kwa kuegemea zaidi ktk imani za kiza na za kufikirika kufikirika!
ReplyDeletenyie mnawajuwa wanaijeria kwa magirini?
ReplyDeletebabu akisoma hii ataamini. pamoja na walomwamini babu.
ReplyDeleteUpuuzi mtu, kuambukizana magonjwa tu
ReplyDelete