Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya
Africana Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi
25,2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali
(Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu
wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer
), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
Stephen Masere (kushoto kwake) wakizungumza na Viongozi wa Kampuni ya
Africana
Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi 25,2014.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of
Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo
Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer ), Brand
Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba,
Kingunge Ngombale-Mwiru, Bungeni Mjini Dodoma Machi 25, 2014. (Picha
na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...