Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa 
mdau Ronnie  Mtawali. 

Globu ya Jamii inamtakia afya nyema na maisha ya furaha kwa siku hii.
Ankal ana furaha na fahari kubwa kuwa mmoja wa marafiki wa karibu wa Ronnie ambaye miaka takriban 20 iliyopita alimpigia picha zake za harusi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ankal basi lazima umtajie hadharani kuwa wamdaiii pesa za album.Si bora ilikuwa umwambie kwa faraga tuu. Wamtia aibu na kumuumiza moyo kwa siku kama hii adhimu kwake!

    ReplyDelete
  2. some things are rather kept private

    ReplyDelete
  3. Nyie wadau wawili wa mwanzo mnaishi dunia gani .....? ivi nyie mnatambua urafiki ulipobaina ya hawa watu na jinsi wanavyoshibana na kutaniana? yaani mmeshindwa hata kufahamu kua huu ni utani? nyie wa wapi?

    ReplyDelete
  4. Ronald siku nyingi upo wapi siku hizi, school mate Oysterbay, Shaaban Robert na American Univ

    Mdau
    Diaspora

    ReplyDelete
  5. Uncle happy birthday

    ReplyDelete
  6. Shukran Ankal - Hii mijitu iko Dunia ya wapi sijui! Urafiki mbele, vijisenti havisumbui. Keep up the good work my friend

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...