Leo ni Hepi Besdei ya kuzaliwa
mdau Ronnie Mtawali.
Globu ya Jamii inamtakia afya nyema na maisha ya furaha kwa siku hii.
Ankal ana furaha na fahari kubwa kuwa mmoja wa marafiki wa karibu wa Ronnie ambaye miaka takriban 20 iliyopita alimpigia picha zake za harusi.
Ankal basi lazima umtajie hadharani kuwa wamdaiii pesa za album.Si bora ilikuwa umwambie kwa faraga tuu. Wamtia aibu na kumuumiza moyo kwa siku kama hii adhimu kwake!
ReplyDeletesome things are rather kept private
ReplyDeleteNyie wadau wawili wa mwanzo mnaishi dunia gani .....? ivi nyie mnatambua urafiki ulipobaina ya hawa watu na jinsi wanavyoshibana na kutaniana? yaani mmeshindwa hata kufahamu kua huu ni utani? nyie wa wapi?
ReplyDeleteRonald siku nyingi upo wapi siku hizi, school mate Oysterbay, Shaaban Robert na American Univ
ReplyDeleteMdau
Diaspora
Uncle happy birthday
ReplyDeleteShukran Ankal - Hii mijitu iko Dunia ya wapi sijui! Urafiki mbele, vijisenti havisumbui. Keep up the good work my friend
ReplyDelete