Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI)
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum
Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC).
Home
Unlabelled
JUST IN: IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Gazeti la Mwananchi tuwaweke kundi gani?
ReplyDeleteAma ninyi ndio Mawakala ama Tawi la Gazeti la 'News of Rwanda' hapa Tanzania?
Inaonekana mtindo wa Uandishi wenu wa Habari unashabihiana.
WAANDISHI WA TANZANIA MBONA MNASUTANA WENYEWE KWA WENYEWE KUTOKANA NA ITIKADI ZENU ZA KISIASA? KWANINI HAMPENDI KUWA WAKWELI? KWANINI HATA KAMA UKWELI UPO MNAUFICHA? KWANINI MNASHINDWA KUPATA UKWELI TOKA KWA ALIYETOA HABARI HIZI/ NA VYAMA VYENU VYA UANDISHI MBONA NDUMILAKUWILI?
ReplyDeleteHivi kwanini vyombo vya habari vyenye kupotosha ukweli wasichukuliwe hatua stahiki za kisheria?
ReplyDeleteMaelezo ya Ikulu ni sawa ila yapo hewani, haijasema itachukua hatua gani. Kesho yena wakirudia na wengine yatakuwa yale yale tu