Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Gazeti la Mwananchi tuwaweke kundi gani?

    Ama ninyi ndio Mawakala ama Tawi la Gazeti la 'News of Rwanda' hapa Tanzania?

    Inaonekana mtindo wa Uandishi wenu wa Habari unashabihiana.

    ReplyDelete
  2. WAANDISHI WA TANZANIA MBONA MNASUTANA WENYEWE KWA WENYEWE KUTOKANA NA ITIKADI ZENU ZA KISIASA? KWANINI HAMPENDI KUWA WAKWELI? KWANINI HATA KAMA UKWELI UPO MNAUFICHA? KWANINI MNASHINDWA KUPATA UKWELI TOKA KWA ALIYETOA HABARI HIZI/ NA VYAMA VYENU VYA UANDISHI MBONA NDUMILAKUWILI?

    ReplyDelete
  3. Hivi kwanini vyombo vya habari vyenye kupotosha ukweli wasichukuliwe hatua stahiki za kisheria?

    Maelezo ya Ikulu ni sawa ila yapo hewani, haijasema itachukua hatua gani. Kesho yena wakirudia na wengine yatakuwa yale yale tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...