KISHAKILENA Reality TV Show
LikeBrothaz Production.
KISHAKILENA Reality TV Show is geared towards exploring the complexity of life particularly when
beautiful girls referred to as ‘Kishakilena’ come under one roof. Though they share cultural heritage
they have different personalities that set out serious life dramas. Episode‐#1 establishes the show’s characters by zeroing in on; Jestina, CoCo Diva, Kim, Nusrat and
Linda the four complex personalities.
JESTINA, an educated and iron lady, cannot stand crazy ideas of her mates particularly on men of
their dreams. She gets wild when CoCo DIVA, the crazy party girl, tries to insinuate evil minds to the
youngest girl LINDA.
CoCo Diva is highly threatened by the natural beauty of sexy KIM. She Cannot also stand NUSRAT,
the eldest among them all who has brilliant ideas but fails to execute them. The serious back rash
between CoCo Diva and Nusrat steers up the mood of the house.
Can the youngest, funny, sexy, music lover and model‐dreamer Linda stand the peer pressure?
Enjoy first episode below:
Tafuteni jina linguine maana KISHAKILENA kulitafuta ktk youtube ni kama kuitafuta sindano iliyoangukia ndani ya bahari.
ReplyDeletePendekezo : SWAHILIWOMAN: MASHARIKI WOMAN: EASTAFRICAN WOMAN: DADA M-TANZANIA: n.k ni majina rahisi kutafutwa ktk YOUTUBE ili kupata audience nje ya mtaa au kiota chenu wa huko UK au USA au DSM
Mwanzo mzuri
Mdau
Makini
Sasa Hawa ndio Wanawake wa Ukweli.
ReplyDeleteWana UHURU wa Kuongea wanachotaka na Kubadilishana Mawazo Kuhusu wanaume wanaowapenda.
Wasichana na Wanawake wa siku hizi wako Huru kabisa kufanya wapendayo.
Kuanzia Nywele za Bandia za Watu waliokufa au Plastic HAIR.
Mabegi ya Ghalama, Nguo na Mawani ya Jua ndani ya Nyumba.
Wanapenda Kula kwenye Restaurants ndio Maana miili yao Ni mikubwa sana.
Wanapenda Kujichubua Usoni mpaka kwenye Vidole.
Wanatumia Muda Mwingi Kujadili Mambo Ya Dunia, yasiyo Jenga Jamii.
Hawajatulia Kichwani kabisa. Ila mimi Nawapenda sana kwa sana siwatilii Maanani.
Ukimpata Mwanamke wa Namna hii, Piga halafu anza na wala usirudi nyuma.
Toka Dunia hii ianze wanawake wengi ni wasumbufu sana kwa sababu ya akili zao.
Mababu zetu waliwazibiti sana Bibi zetu, kwa kuwaficha ndani ya nyumba. Bibi Akileta longolongo Babu alikuwa anachapa kabisa.
Lakini baada ya HAKI za Binadamu WANAWAKE Wakapewa UHURU, lakini angalia sasa wanavyoutumia UHURU Huo.
wanajadili Upumbafu kabisa.
VIJANA wa Kitanzania Kuweni Makini sana Mnapoingia kwenye ndoa. Unaweza tapeliwa muda wako bure na Kuzaa na Wanawake kama hawa.
Hawajali kabisa anapoachana nawewe.
Inasikitisha sana.
But, that is reality.
Hit and RUN keep your MONEY
Nikiwa shuleni enzi hizoooo! Nakumbuka nliwahi kumuuliza Mwalimu wangu wa Biology, Mwanya unaitwaje kwa kizungu? Siku hiyo tulikuwa tunajifunza topic ya 'Dental Formula" . Sijasahau hadi leo hii, alinijibu kwa kunambia unaitwa 'DIASTEMA' . Hope na wenzangu mtakuwa mmefaidika na hilo.
ReplyDeletePopote ulipo, ubarikiwe Mwalimu wangu wa Biology Mr. Lujegi.