Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hii ni hatari jamani. Mwendeshaji amevaa ndala, akiteleza kidogo tu matatizo.

    ReplyDelete
  2. Watu sita katika pikipiki moja, halafu huyo Bi Dada mgongoni kabeba hiyo 'rucksack' yake, pengine ina uzito fulani, huku kawashikilia hao watoto, Mungu apishe mbali, limetokea la kutokea si atakosa balance, almuradi hatari tupu. Nadhani
    tusiangalie upande mmoja wa kurahisisha safari zetu almuradi tufike twendako, la khasha! Bali pia kuna haja ya kufikiria na kuzingatia athari za kupakizana katika mtindo wa aina hii.

    ReplyDelete
  3. vitu vingine ni maombi tu maana hapa hata sijui nichangieje? nina hakika kote walikopita walipishana wa watengeneza sera na wasimamiaji wa sheria nchi hii. Mikononi mwa Bwana naziweka roho zao

    ReplyDelete
  4. HUU NI MSHIKAKI ULIOTUKUKA.

    ReplyDelete
  5. waafrika wanapenda risk na kuchukua maisha for granted. Angalia hawa sasa wanawafanya hata watoto wadogo waone hii ni sawa tu.

    ReplyDelete
  6. mmhhh yakimkuta ya kumkuta atalia Mungu wangu umeniacha.kweli? kutupa majonzi tu watanzania wenzake.

    ReplyDelete
  7. Haraka zingine jamani za njni?

    Ni kukosa akili kabisa huko ni afadhali wange kodisha Mkokoteni ama Toyo kuliko boda boda na watoto ktk Mshikaki !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...