Home
Unlabelled
mshkaki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ni hatari jamani. Mwendeshaji amevaa ndala, akiteleza kidogo tu matatizo.
ReplyDeleteWatu sita katika pikipiki moja, halafu huyo Bi Dada mgongoni kabeba hiyo 'rucksack' yake, pengine ina uzito fulani, huku kawashikilia hao watoto, Mungu apishe mbali, limetokea la kutokea si atakosa balance, almuradi hatari tupu. Nadhani
ReplyDeletetusiangalie upande mmoja wa kurahisisha safari zetu almuradi tufike twendako, la khasha! Bali pia kuna haja ya kufikiria na kuzingatia athari za kupakizana katika mtindo wa aina hii.
vitu vingine ni maombi tu maana hapa hata sijui nichangieje? nina hakika kote walikopita walipishana wa watengeneza sera na wasimamiaji wa sheria nchi hii. Mikononi mwa Bwana naziweka roho zao
ReplyDeleteHUU NI MSHIKAKI ULIOTUKUKA.
ReplyDeletewaafrika wanapenda risk na kuchukua maisha for granted. Angalia hawa sasa wanawafanya hata watoto wadogo waone hii ni sawa tu.
ReplyDeletemmhhh yakimkuta ya kumkuta atalia Mungu wangu umeniacha.kweli? kutupa majonzi tu watanzania wenzake.
ReplyDeleteHaraka zingine jamani za njni?
ReplyDeleteNi kukosa akili kabisa huko ni afadhali wange kodisha Mkokoteni ama Toyo kuliko boda boda na watoto ktk Mshikaki !