Shekh.Ali Sharif Maalim akisoma Quran kabla ya Ufunguzi wa Semina hiyo ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.
Dkt. Ziddy akifungua semina ya siku moja ya kuzungumzia Bank za Kiislam, ilioandaliwa na PBZ Islamic,na kuwashirikisha Mashekh na Wafanyabiashara wa Zanzibar kuhusiana na riba, semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.   
Mkurugenzi Huduma Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Said Mohammed, akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, akifuatilia maelekezo yakitolewa katika semina hiyo akiwa na Maofisa wa PBZ na Viongozi wengine. 

Profesa Monzer Kahf, akiwasilisha Mada yake kuhusiana na Islamic Bank is Alterative of Convention Bank, wakati wa semina hiyo ya siku moja ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace malindi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. PBZ People's Bank of Zanzibar, Islamic Banking Division kitengo cha huduma za kibenki za mfumo wa Kiislamu.

    Swali kwa PBZ, je huduma za Vitengo vyengine kama kutoa mikopo, Bima, Saving Account, Bank to Bank transafers n.k zipo?

    Mdau
    Diaspora.

    ReplyDelete
  2. Ninaunga mkono maswali ya Anonymous 1, ila na mimi niongeze kuuliza je PBZ mnatoa huduma ya internet banking? Na kwa sisi tulio nje ya nchi tutawezaje kufungua akauti?

    Mdau
    Diaspora

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...