Kwa masikitiko makubwa sisi wafanyakazi wa University of Dares Salam Business School (UDBS)  tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu  Dr. Wilson Joseph Mboya (pichani) kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 3 march 2014. 

Msiba upo nyumbani kwake chuo kikuu Dar es Salaam jirani na UDASA Club. Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao Mbeya. 

Utaratibu  wa kuaga mwili wa marehemu utafanyika kesho tarehe 4 March 2014 Nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana. 
Nyote mnakaribishwa kumsindikiza mwenzetu katika safari ya milele. 

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. 
Jina lake lihimidiwe
Amina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. May he Rest in Peace

    ReplyDelete
  2. Anaonekana alikuwa bado kijana...RIP...umetangulia wakati Taifa lilikuwa linakuhitaji. Mapenzi ya Mungu

    ReplyDelete
  3. RIP rafiki Mboya tutakukumbuka daima

    ReplyDelete
  4. This is shocking news! may God Rest your Soul in eternal peace

    ReplyDelete
  5. R.I.P. Mboya

    ReplyDelete
  6. This is sad news. Was he sick or accident?

    We will remember you always. You were amongst UDSM Lecturers to depend on!!!

    RIP Dr Mboya.

    KPRT Dar

    ReplyDelete
  7. R.I.P Dr. Mboya

    ReplyDelete
  8. It is such a shocking news..God loved you more...REST IN PEACE MBOYA
    YOU WERE SUCH INTELLIGENT, HARD WORKING..REALLY BAD NEWS..TO GOD BE THE GLORY

    ReplyDelete
  9. Ooh sad news, nakumbuka lecture zako pale open University.
    Mungu awatie nguvu wafiwa.

    from arusha

    ReplyDelete
  10. TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIPINDI CHOTE ULICHOKUWA NASI HASA SISI ULIOWAHI KUTUFUNDISHA.
    UMETANGULIA TUTAKUFUATA SIKU MOJA. UPUMZIKE KWA AMANI.

    ReplyDelete
  11. i will miss him always

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...