
Msiba upo nyumbani kwake chuo kikuu Dar es
Salaam jirani na UDASA Club. Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao Mbeya.
Utaratibu wa kuaga mwili wa marehemu
utafanyika kesho tarehe 4 March 2014 Nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana.
Nyote mnakaribishwa kumsindikiza mwenzetu katika safari ya milele.
Bwana
Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina lake lihimidiwe
Amina
May he Rest in Peace
ReplyDeleteAnaonekana alikuwa bado kijana...RIP...umetangulia wakati Taifa lilikuwa linakuhitaji. Mapenzi ya Mungu
ReplyDeleteRIP rafiki Mboya tutakukumbuka daima
ReplyDeleteThis is shocking news! may God Rest your Soul in eternal peace
ReplyDeleteR.I.P. Mboya
ReplyDeleteThis is sad news. Was he sick or accident?
ReplyDeleteWe will remember you always. You were amongst UDSM Lecturers to depend on!!!
RIP Dr Mboya.
KPRT Dar
R.I.P Dr. Mboya
ReplyDeleteIt is such a shocking news..God loved you more...REST IN PEACE MBOYA
ReplyDeleteYOU WERE SUCH INTELLIGENT, HARD WORKING..REALLY BAD NEWS..TO GOD BE THE GLORY
Ooh sad news, nakumbuka lecture zako pale open University.
ReplyDeleteMungu awatie nguvu wafiwa.
from arusha
TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KIPINDI CHOTE ULICHOKUWA NASI HASA SISI ULIOWAHI KUTUFUNDISHA.
ReplyDeleteUMETANGULIA TUTAKUFUATA SIKU MOJA. UPUMZIKE KWA AMANI.
i will miss him always
ReplyDelete