MBUNGE WA MTERA,LIVINGSTONE  LUSINDE NA MBUNGE WA MOSHI MJINI MHE PHILEMON NDESAMBURO AMBAO PIA NI WABUNGE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAKIAGANA MARA BAADA YA KUAHIRISHWA KWA SEMINA YA KUANDAA KANUNI ZITAKAZO TUMIWA WAKATI WA KIKAO CHA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA UDP MHE. JOHN MOMOSE CHEYO NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA NCCR;MAGEUZI MHE. JAMES MBATIA AMBAO PIA NI WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAKIJADILIANA WAKATI WAKITOKA KATIKA SEMINA YA KUJADILI RASIMU YA KANUNI ZA KUONGOZA BUNGE HILO. 
 
MHE.OLE SENDEKA AKICHANGIA MSWADA WA KANUNI ZITAKAZO TUMIKA WAKATI WA KIKAO CHA BUNGE MAALUMU LA KATIBA JANA JIONI. 
MHE.JAMES MAPALALA AKIWELEKEZA JAMBO MJUMBE MWENZAKE KWA KIDOLE WAKATI WA SEMINA YA  KUJADILI RASIMU YA KANUNI ZITAKAZO TUMIKA WAKATI WA KIKAO CHA BUNGE MAALUMU LA KATIBA. PICHA NA DEUSDEDIT MOSHI WA GLOBU YA JAMII, KANDA YA KATI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wakati nchi kadhaa za afrika zimejadili na kubadili katiba kiurahisi, Tanzania kama kawaida yetu tunaendelea kupoteza mamilioni kuwalipa machopopo wajumbe hawa na wale wanakamati hawa na wale, haya yataisha lini?
    Ni juzi tu tumesoma hapa kuna shule nzima ina mwalimu mmoja, mamilioni yanayotumika katika kujadili katiba mpya zingelitumika vyema kama zingelielekezwa kwenye elimu, kuongeza mishahara ya walimu, kujenga mashule imara na kufundisha walimu wapya.

    Zoezi zima lilaloendela kwa sasa halina umuhimu wowote katika suali la kubadili katiba ila ni njia tu ya wenye matumbo makubwa kuzidi kujilumbikizia posho za kila aina.

    Watazanzania tutaamka lini?

    ReplyDelete
  2. Tutaamka baada ya kupata katiba yenye mustakabala mwema zaidi kwa vizazi vijavyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...