Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wakitoka Bungeni Mjini Dodoma leo baada ya Bunge hilo kusitishwa kwa muda kufuatia Sintofahamu iliyotokea.
Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Mhe Halima Mdee akitafakari baada ya wenzake kuondoka bungeni wakati Bunge hilo lilipositishwa kwa muda mjini Dodoma leo kufuatia sintofahamu iliyokea.
Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba Mhe Halima Mdee akitafakari baada ya wenzake kuondoka bungeni wakati Bunge hilo lilipositishwa kwa muda mjini Dodoma leo kufuatia sintofahamu iliyokea.
7 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (wapili kushoto) wakijadili jambo na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba baada ya Bunge hilo kusitishwa kwa muda leo kufuatia sintofahamu ilitokea. Kutoka kushoto ni Katibu wa Bunge Thomas Kashilillah, Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Abood, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira, Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Abubakar Khamis Bakari na Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, Frederick Werema.
Ahhh mola wetu weee, ibariki TITANIC ituvushe katika mkondo huu na mizito ijayo.
ReplyDelete