Mkurugenzi
wa taasisi ya saratani ya matiti (TBCF), Angela Kuzilwa akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maradhi ya saratani ya matiti
na shingo ya kizazi pamoja na umuhimu wa watu (wake kwa waume) kupima mara kwa mara. Kulia ni Grolia Kida ambaye ni mhasibu
na kushoto ni Keziah Makoyo ambaye ni Mkurugenzi wa mahusiano ya nje
ya Taasisi hiyo.
Home
Unlabelled
TUPIME NA KUJICHUNGUZA SARATANI - TBCF
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante wakina mama kwa kutukumbusha mambo muhimu yanayoweza kutuepusha na kugundua saratani wakati tumeshachelewa.
ReplyDelete