Mlioko huku wote ma-Bebi...tehe tehe tehe....Inasemekana wazee wa Chalinze wamekata rufaa kutaka mpaka uwe Morogoro....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Ankal naona unaukwepa utu uzima

    ReplyDelete
  2. yaani nimecheka sana, haya michuzi umetuonysha mpaka na ukivuka tu...duh uzee tayari.

    ReplyDelete


  3. In this one, I give you a credit for being creative

    ReplyDelete
  4. Hahahhahaaaaaaaaaaaa ankal umedata!!!

    ReplyDelete
  5. Ankal weka utani pembeni kwanza.JK anaweza kutusaidia au wadau wa Lugha ya kiswahili.Hivi Chalinze Mzee=OLD CHALINZE?au ina maana ya kitu kingine?

    David V

    ReplyDelete
  6. haaahaaaha mbavu zangu mie weee ankal ni balaaa ...kwa hio wote huko mjini ni ma honey na ma beibee....c mchezo.

    ReplyDelete
  7. Jina tu na halimaanishi hilo la umri,ankal omba muongozo

    ReplyDelete
  8. What about old Moshi and Old Korogwe?

    ReplyDelete


  9. We anony uliyecomment ...
    "{Jina tu na halimaanishi hilo la umri,ankal omba muongozo" ...

    HIYO UNAJUWA WEWE SI HATUJUI NA TUMESHAMWELEWA ANKAL

    ReplyDelete
  10. Ushambiwa uzee mwisho Charinzee, mjini kila mtu baby. baby, kwani nani? anautaka uzee siku hizi, si unaona kule hoolywood wanavyoangaika na kufukuza uzeee, hapo chacha. kila mtu ni baby baby ndio mpango mzima

    ReplyDelete

  11. tehe tehe tehe ... kumbe na wewe ankal umeshanunuliwa na ridhiwani tehe tehe tehe naona uko kwenye kampeni jimboni . tihi tihi tihi

    ReplyDelete
  12. Watu banaa hata hawamuelewi ankal wanafikiri eti ni lugha gongana...mwenzenu anamaanisha uzee mwisho chalinze....hizi division 5 ni majanga!!!

    ReplyDelete
  13. ankal hebu rudin magazetini. Ubunifu wako unahitajika kule,mie kila siku napita hapo na kuona kibao hicho lakini hata siku moja sijawaza ulivyowaza....

    ReplyDelete
  14. Ankal we utakuwa unavuta bangi.

    ReplyDelete
  15. Enhhh Makubwa!

    Hicho Kibao ni Kazi ya Computer Graphics Editing ama ni uchapaji wa Mamlaka za Tanroads?

    ReplyDelete
  16. Muujiza huo na Rufaa hiyo ya Uzee kuishia Morogoro utawezekana endapo Jimbo la Chalinze litakuwa limempata Mbunge wake mpya Kada wa CCM Ridhwani Kikwete !!!

    ReplyDelete
  17. kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  18. ANKAL MSTARI WAA UZEE NI MOROGORO KWANI SISI WAZEE WA CHALINZE NI MABABY TU!!

    ReplyDelete
  19. ha ha ha Ankal you made my day!nimecheka sanaa leo

    ReplyDelete
  20. Sorry Ankal....huo uzee kama wameukana Chalinze basi from Chalinze Junction ingia upande unaoelekea Segera....upeleke huko ukautafutie wenyeji watakaoupokea....huku Morogoro BIG NO!...Chezeya!

    ReplyDelete
  21. mjini wazee wote ni sugar-mamy na sugar-dady

    ReplyDelete
  22. Hili ni Jimbo jipya linajengeka kimya kimya nalitakuwa na maendeleleo kupita maelezo .. we jua ndio Picha hiyo Karibu uamie sasa bila sito.. Jina na Jimbo ndio TATARI HILO...

    ReplyDelete
  23. Ukiona unaitwa baby fahamu huyo anataka kukuibia kweupe na kinachofuata ni mzinga!!

    ReplyDelete
  24. Mpaka huu uwekwe ndani ya Katiba Mpya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...