

Wajumbe wa Bodi ya NSSF pamoja na viongozi wa shirika hilo wakipata maelezo juu ya Mobile POS inavyofanya kazi.
Mmoja wa wafanyakazi wa NSSF tawi la Ilala (katikati) aliyezungukwa akitoa maelezo namna Mobile POS inavyorahisisha kazi ya utengenezaji kadi ya mwanachama wa NSSF kwa muda mfupi.

Hongera sana NSSF chini ya Uongozi mahiri wa Dr.Dau kwa kuonyesha mfano mwingine katika Utendaji Nchini Tanzania. Kweli kadi hizo ndio mpango mzima na zitapunguza usumbufu kwa Wanachama na kuongeza ufanisi wa kazi. Mmekuwa ni mfano wa kuigwa siku zote. NSSF Mnatishaaa. DC Oyeee !
ReplyDelete