Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa,Bw. John Haule (kulia anayeangalia nyaraka) akipata taarifa kutoka kwa Bw. Gration
Kamugisha, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Miradi Hazina (U.T.T) kuhusu
mikakati ya kuboresha nyumba zinazomilikiwa na Ubalozi, Lusaka- Zambia kwa
kuingia ubiya na UTT, kulia kwa Bw. Haule ni Katibu Mkuu wa Hazina, Bw.
Servacius Likwelile wa kwanza kushoto akisikiliza. Kikao hiki kilifanyika
Ofisini kwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Mhe. Grace J. Mujuma (anayetazama kamera). Wengine katika picha ni Bibi Justa Nyange, Mkuu wa
Utawala, Ubalozini aliye kushoto kwa Bw. Haule na Bw. Mihalale Mwakibinga,
Msajili kutoka Hazina aliyeketi kulia kwa Bw. Likwelile.
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Zambia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...