Marehemu Mwl. Ernestina Kahabuka
Dakika, saa, siku, miezi na sasa miaka mitano toka ulipotuaga tarehe 15/04/2009 na kuzikwa nyumbani kijiji cha Buhangaruti, Mugana Parish Bukoba.
Unakumbukwa daima na mme wako Dr. F.C. Kahabuka, wanao – Anny, Oliva, Mary, Primus, Pelagia, na wakwe zako, wajukuu, zako wote, ndugu zako wote, majirani, ndugu na jamaa na wanafunzi wako wote tunazidi kukuombea upumzike mahali pema huko peponi
Amina
Tulikupenda sana mama lakini Mungu alikupenda zaidi
Allah akupumzishe kwa amani bibi yetu... mzee Wella pole sana baba angu
ReplyDelete