Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya
kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.
*ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001
*CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997
Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005.
Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika
nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo sehemu yeyote, tafadhali tujulishe
haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza
kusaidia kupatikana kwa vyeti hivyo.
Tupigie simu kwenye number: +447939736412
ama +255756160237
Email: mwikigm@yahoo.com
Police ref:MPWE/RB/920/2013
Mdau wa kupotelewa na Vyeti na kuwa na mashaka kama jina linatumiwa isivyo halali:
ReplyDeleteFANYA YAFUATAYO:
Kwa kuwa Tanzania ya sasa sio msitu, huyo mtu atafahamika mara moja kwa,
1.Wasiliana na Mifuko yote ya Akiba kadhaa kama NSSF kama atakuwa wameajiriwa kwa majina hayo na Sekta Binafsi, NPF na PPF kama ana ajira ya Serikali, GEPF kama wapo ktk ajira za Serikali Kuu ama fanya mawasiliano ya moja kwa moja kwenye Mamlaka Kuu ya Mifuko yote SSRA.
2.Wasiliana na Idara ya Usalama Makao Makuu/WIZARA YA MAMBO YA NDANI (IDARA YA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI NA UHALIFU WA MITANDAO) ili waweze kufika kwenye Ofisi Kuu za Mabenki kuona kama pana mtu amefungua Akaunti kwa majina hayo, Makampuni ya Mitandao ya simu kuona kama pana mtu amesajili simu kwa jina hilo.
Kwa kuwa wewe upo nchini Uingereza kwa sasa watakaopatikana hapa Tanzania kwa majina hayohayo kama haitakuwa kufafana kwa majina watakuwa ndio Wahusika wa Uhalifu huo wa Identity Theft!
TCU pia wanaweza kusaida kama vyeti hivyo vimekwishatumika ktk kujiunga na Elimu ya juu.
ReplyDeletePole sana mwana Mpwapwa Sec. mwenzangu.